| Mhe. Naibu Mwakilishi Balozi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa mataifa New York, Ramadhani Muombwa Mwinyi (kulia)akiufungua mkutano mkuu wa kwanza wa Jumuiya ya Watanzania New York, uliofanyika Jumapili Feb 24, 2013 Harlem, New York nchini Marekani na kuhudhuriwa na Wanajumuiya hiyo. Watu wengine katika picha tokea shoto ni Omar Ally wa Pennsylvania ambae ni mwenyekiti wa Zanzibar DIASPORA, Shabani Mseba, katibu Jumuiya ya Watanzania New York na Hajji Khamis, Mwenyekiti Jumuiya ya Watanzania New York . |
0 comments:
Post a Comment