Happy Birthday VIJIMAMBO BLOG

Yatimiza Miaka 3


  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

Detroit freeway accident : At least 2 dead in mass pileup

 
DETROIT (AP) — Snow squalls and slippery roads led to a series of accidents that left at least two people dead and 20 injured on a mile-long stretch of roadway in Detroit on Thursday.More than two dozen vehicles, including tractor-trailers, were involved in the pileups on Interstate 75.

SUVs with smashed front ends and cars with doors hanging open sat scattered across the debris-littered highway between jackknifed tractor-trailers. Motorists and passengers who were able to a get out of their vehicles huddled together on the side of the road, some visibly distraught, others looking dazed.A man and woman hugged under the gray, cloud-filled skies, a pair of suitcases next to them and what appeared to be a car bumper on the ground behind them.

Police said the two people who died had been traveling in the same car. The injured, including children, were taken to local hospitals.

"We're not sure of the cause," Michigan State Police Lt. Michael Shaw told The Associated Press. "Some witnesses said there were white-out conditions."

Shaw said many people had to be pulled out of vehicles and that scores of vehicles not involved in crashes were stuck.

Numerous fire engines and ambulances were on the scene, which included smashed and dented vehicles. Shaw said it would be hours before the freeway reopened

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

Siri ya mgogoro wa Gesi ya Mtwara yafichuka

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na waandishi wa habari kwenye makazi yake mkoani  Dodoma jana
 kuhusu hatua zilizochukuliwa kudhibiti vurugu za gesi mkoa wa Mtwara.Kulia ni waziri wa
Mambo ya Ndani, Dk Emmanuel Nchimbi

Madai kwamba gesi hiyo inapelekwa Bagamoyo yalikuwa moja ya ujumbe mkuu uliokuwa umeandikwa kwenye baadhi ya mabango wakati wa maandamano ya Desemba 27 mwaka jana yaliyofanyika Mtwara Mjini, yakiratibiwa na baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani. MOJA ya mambo yaliyoamsha hisia za wakazi wa Mkoa wa Mtwara hadi kushinikiza kwa vurugu wakitaka gesi isitoke mkoani humo, ni taarifa kuwa nishati hiyo ingepelekwa wilayani Bagamoyo, nyumbani kwa Rais Jakaya Kikwete.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alisema jana nyumbani kwake mjini Dodoma kuwa, mbali na imani hiyo, amebaini pia kuwa mpasuko ndani ya CCM mkoani Mtwara na harakati za kisiasa ni sababu nyingine iliyochochea mgogoro huo.

Pinda alikuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mgogoro huo ambao ulisababisha vifo vya watu wanne huku wengine wakijeruhiwa vibaya na uharibifu mkubwa wa mali zikiwamo nyumba za wabunge kuchomwa moto na namna alivyofanikiwa kuuzima.

Waziri Mkuu alifanya ziara ya siku mbili mkoani Mtwara, Januari 25 na 26 mwaka huu na kufanikiwa kuzima mgogoro huo baada ya kufanya mazungumzo na makundi mbalimbali ya wadau wa gesi mkoani humo. “Sasa hili nililitolea ufafanuzi kwa kukanusha kuwa siyo kweli kwamba gesi inakwenda Bagamoyo. Lakini pia baada ya kukaa nao nilibaini kuwa hata viongozi wenyewe wa CCM hawako pamoja,” alisema Pinda na kuongeza:

“Pamoja na hayo nikachukua maelezo kuhusu matatizo yao mengine na nikawaahidi kwamba nitayafikisha katika mamlaka husika ili waweze kuona namna ya kufanya.”

Madai kwamba gesi hiyo inapelekwa Bagamoyo yalikuwa moja ya ujumbe mkuu uliokuwa umeandikwa kwenye baadhi ya mabango wakati wa maandamano ya Desemba 27 mwaka jana yaliyofanyika Mtwara Mjini, yakiratibiwa na baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani.

Pinda alisema viongozi wa kisiasa mkoani Mtwara wakiwamo wabunge, wameonekana kuwa na mpasuko unaosababisha uchochezi kwa makundi ya watu.


Alipotakiwa kuzungumzia madai hayo ya Waziri Mkuu, Katibu wa CCM Mkoa wa Mtwara, Alhaji Masoud Mbengula alikiri chama hicho kumeguka na akataja sababu kuwa ni makundi yaliyotokana na uchaguzi wa ndani uliofanyika mwaka jana.

“Tusiwe wanafiki, ni kweli kuna makundi ndani ya chama… wabunge hawako pamoja na ndiyo hali iliyotufikisha hapa… suala hili lipo wazi kabisa,” alisema Alhaji Mbengula.

Kamati ya Spika hatihati
Akizungumzia Kamati ya Bunge iliyotarajiwa kuundwa na Spika kwenda Mtwara kwa ajili ya kuwasikiliza wananchi wa huko, Pinda alisema hawezi kuingilia mhimili huo wa Dola isipokuwa atatoa taarifa bungeni na kama Spika ataona wabunge wameelewa, basi ataamua lolote.

“Nitakuwa na nafasi ya kuzungumzia jambo hili ndani ya Bunge na Spika akiona wabunge wamenielewa bila shaka atasitisha lakini akiona bado inafaa ataamua yeye,” alisema.

Kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari jana, kiongozi huyo alifanya mazungumzo na Mawaziri wanaotoka Mkoa wa Mtwara ambao ni George Mkuchika (Utawala Bora) na Hawa Ghasia (Tamisemi) pamoja na wawekezaji wa kutoka China ambayo alisema yalilenga kuwapa halihalisi ya huko.

Nchimbi afunguka
Akizungumza katika mkutano huo, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi alisema vurugu hizo zimefikia mwisho na Serikali haitavumilia tena machafuko ya aina hiyo.

Dk Nchimbi alisema timu ya wataalamu ipo Mtwara kuweka mambo sawa na kusema Serikali itatimiza majukumu yake pasi na shaka yoyote na kusisitiza kuwa haiwezi kukubali Tanzania ikawa vipande. Alisema Serikali inafanya tathmini kujua hali ilivyo Mtwara na ikibidi itasitisha shughuli zote za kisiasa mkoani humo.

source:http://www.mjengwablog.com/siasa/item/842-siri-mgogoro-wa-gesi-yafichuka.html#.UQnxDb_4Jic

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

AFCON'13 : Ivory Coast rescued a draw against Algeria

Group D winners Ivory Coast rescued a draw against Algeria to maintain their unbeaten record in the Nations Cup. Algeria, eliminated before the match, missed a first-half penalty through Ryad Boudebouz but Sofiane Feghouli scored from a second spot-kick. 

Substitute Feghouli then crossed for Hilal Soudani to power home a header to make it 2-0 before Didier Drogba nodded in superbly to halve the deficit. A deflected Wilfried Bony shot completed the Ivorians' comeback. 

QUARTER FINAL DRAW



Sat 2 Feb 2013 - Africa Cup of Nations


Ghana v Cape Verde 15:00

South Africa v Mali 18:30

Sun 3 Feb 2013 - Africa Cup of Nations



Ivory Coast v Nigeria 15:00



Burkina Faso  v Togo 18:30

     

    • Digg
    • Del.icio.us
    • StumbleUpon
    • Reddit
    • RSS

    Sherehe za Kuadhimisha Miaka 36 ya Chama cha Mapinduzi


    • Digg
    • Del.icio.us
    • StumbleUpon
    • Reddit
    • RSS

    USA 0-0 Canada : Jicho la Mlongoblog BBVA Compass Stadium


    Mdau wa Blog ya Mlongo Rahim akiwa uwanjani

    United States Men's National Team coach Jurgen Klinsmann

    Dwayne Rosario akiwakisa USA


    Rahim akiwa na Alex Lalas beki wa kati wa USA kwenye World Cup'94 ambaye ni mtangazaji wa ESPN kwa sasa

    Mlongo Kihoma

    Mlongo na Alex Lalas


    Mashabiki wakiingia uwanjani

    Timu zinaingia uwanjani

    Fans




    • Digg
    • Del.icio.us
    • StumbleUpon
    • Reddit
    • RSS

    Profesa Ndulu ataka BoT isiingiliwe na wanasiasa

    GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu
    GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu amependekeza Katiba Mpya iweke kinga ambayo itailinda benki hiyo ili ifanye kazi zake bila kuingiliwa na mambo ya kisiasa.

    Aidha, amependekeza Katiba Mpya itenganishe mamlaka zinazotoa na zile zinazotumia fedha ili kila moja ifanye kazi zake kwa kujitegemea, huku pia akitaka kinga zinazolinda shughuli za kibenki zitambulike kikatiba na si kuwepo kwenye sheria za Bunge.

    Alisema benki zinapaswa kutoa fedha kwa kiwango maalumu bila kuzizidisha kwa ajili ya kuimarisha uchumi.
    Akizungumza Dar es Salaam jana muda mfupi baada ya kuwasilisha maoni ya BoT kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Profesa Ndulu alisema umefika wakati BoT ikajengewa uwezo wa kufanya shughuli zake bila kuingiliwa na wanasiasa.

    Profesa Ndulu alisema endapo BoT itawekewa kinga itakuwa na uwezo wa kufanya kazi zake vizuri zaidi.

    Mamlaka za fedha
    Kuhusu mamlaka za fedha Profesa Ndulu alisema: “Tumependekeza kwamba Katiba ijayo iwe na kifungu kitakachotenganisha mamlaka zinazohifadhi fedha na zinazotumia fedha ili kila moja iweze kufanya kazi zake kwa kujitegemea.”Pia, Profesa Ndulu alipendekeza Katiba Mpya iwe na kinga itakayolinda shughuli za kibenki itakayotambulika na siyo kuwapo kwenye sheria za Bunge.


    Mbowe aiasa Tume
    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameiasa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kusimamia maoni ya wananchi katika kukamilisha mchakato wake wa upatikanaji wa Katiba Mpya ili kuondoa malalamiko.

    Mbowe alisema kuandika Katiba ni jambo moja na kuipitisha ni jambo jingine, hivyo kuitaka iandae katiba itakayokubalika na wananchi wengi.

    “Kwa kuwa Chadema tunaamini wananchi ndiyo wenye uamuzi wa kila kitu, hivyo endapo tume itakuja na katiba ambayo hatukuitarajia tutarudi kwa wananchi na kuwaeleza ili kutoikubali,” alisema Mbowe na kuongeza:
    “Katika mabadiliko hayo, pia tunaomba Katiba ije na muundo wa Serikali tatu ili Tanzania bara iwe na mamlaka yake kama ilivyo kwa Zanzibar ambao wana wimbo wao wa taifa, bendera yao, Katiba yao, Bunge lao, Rais na Makamu wa Rais wao sasa tunabembeleza nini?”

    Alisema katika uchaguzi ujao, Chadema hakitakubali kushiriki endapo Katiba hiyo haitatambua kuwapo kwa Tume Huru ya Uchaguzi.

    “Tunataka Tume Huru ya Uchaguzi na kama haitakuwa hivyo tutarudisha uamuzi kwa wananchi na kuingia barabarani kuidai,” alisema.

    • Digg
    • Del.icio.us
    • StumbleUpon
    • Reddit
    • RSS

    Look who’s Beck

    David joins Arsenal for training
    DAVID BECKHAM bends it like the good old days — in a training session with Arsenal today.
    SunSport revealed this morning that the former England captain would link-up with the Gunners at their London Colney base. 

    And he rolled back the years with some trademark passing as well as having a giggle with Jack Wilshere and Co. Becks, 37, is mulling over offers from around the globe as he plots his next move in the game. 
     
    LOOK WHO'S BECK ... Jack Wilshere and Lukas Podoloski pose with Becks
    LOOK WHO'S BECK ... Jack Wilshere and Lukas Podoloski pose with Becks

    To keep in shape, he called up Arsene Wenger to ask if he could join the Frenchman’s team.
    Wenger said: “He has asked to come here and to work on his fitness. He has not done anything for a long, long time. “It’s purely for fitness. There’s no speculation about signing or anything.” 
     
    TOP GUNN ... Beckham walks onto the training-ground pitch with Podolski and Co
    TOP GUNN ... Beckham walks onto the training-ground pitch with Podolski and Co

    Asked what benefit there is for Arsenal, Wenger added: “Nothing. To help somebody.
    “We are open for people who behave well when they come here.” 

    WHAT WAS HE PINKING ... Becks brought along some pink boots
    WHAT WAS HE PINKING ... Becks brought along some pink boots

    Beckham lives not far from the Gunners’ training centre in St Albans and trained with Arsenal in 2008.
    He moved back to England when he left LA Galaxy at the end of his contract last year after six years playing in the MLS. 

    SMILES BETTER ... Santi Cazorla seems to enjoy Becks' company
    SMILES BETTER ... Santi Cazorla seems to enjoy Becks' company

    It is believed he has offers from big-spending Paris St Germain and Italian giants AC Milan. Premier League sides West Ham and QPR have also said they would considered signing him. Beckham could also move further afield with Qatar, China and Australia touted as new countries for him to conquer. 

    GAMES BLOND ... a bleach-blond Beckham during his first training stint at Arsenal in 2008
    GAMES BLOND ... a bleach-blond Beckham during his first training stint at Arsenal in 2008

    • Digg
    • Del.icio.us
    • StumbleUpon
    • Reddit
    • RSS

    Didier Drogba ajiunga na Galatasaray

    Didier Drogba

    Didier Drogba hatimaye amesaini mkataba miezi 18 kuichezea Galatasary baada ya kuipiga chini ofa ya kurudi tena Chelsea. 

    Nahodha huyo wa Ivory Coast amejiunga na waturuki kwa mkopo akitokea klabu ya kichina ya Shanghai Shenhua. 

    Roman Abramovich alitoa ruhusa wiki iliyopita kutoa ofa ya dili la mkopo mpaka mwishoni mwa msimu, huku kukiwepo na wazo la kumsajili kwa mwaka mwingine zaidi.  

    Mazungumzo yalishafikia mbali kiasi na Chelsea wakawa wanaamini kwamba watamsaini tena mwanaume ambaye aliwaletea ubingwa wa kihistoria wa ulaya msimu uliopita kabla ya siku ya mwisho ya usajili alhamisi wiki hii. 

    Drogba alishinda makombe matatu ya EPL, manne ya FA, na akamaliza maisha yake ya soka na  Chelsea na ubingwa wa ulaya kwa kuwafunga Bayern  Munich katika fainali. 

    Chelsea walimpa ofa ya mwaka mwingine kwenye mkataba wake huku wakipunguza kidogo mapato yake, lakini Drogba aliamua kuondoka na Shanghai Shenhua.

    • Digg
    • Del.icio.us
    • StumbleUpon
    • Reddit
    • RSS

    Mheshimiwa Balozi Mwanaidi Maajar Aagwa na Kinamama - DMV


    Balozi Mwanaidi Maajar akiongea mbele ya sherehe ya kumuaga iliyo kuwa imeandaliwa
     na jumuiya ya akina mama Washington, DC.



    Mheshimiwa Balozi Mwanaidi Sanare Maajar akipata ukodak na mume wake

     Wageni kutoka North Carolina wakiwa katika sherehe hiyo





     Ndugu Hajji Khamis kutoka mwenyekiti wa jumuiya ya watanzania wa New York nae alikuwepo
     kwenye sherehe hizo.


    Dr Mariam Abu makamu katibu wa jumuiya ya watanzania wa NYC akipata ukodak pamoja
    na mchumba wake.

     Mh.Balozi akipata ukodak pamoja na Afisa Ubalozi Washington, DC pamoja na familia ya afisa huyo
































    Ebra Nyangaly

    • Digg
    • Del.icio.us
    • StumbleUpon
    • Reddit
    • RSS