Nyumba inavyoonekana kwa nje na hawa ni moja ya wageni kutoka Tanzania waliishi hapa kwa muda wa wiki 3. Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala second floor na chini ni living room na jiko. Kwa wageni wanaotaka kutembelea New York na kukaa kuanzia wiki hii inawahusu na hasa wale wa (Internship). Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Ny Ebra. |
0 comments:
Post a Comment